• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKURUGENZI MTENDAJI (W) AFANYA KIKAO NA WATENDAJI KATA

Posted on: September 15th, 2021

Mkurugenzi Mtendaji (W) Mafia Bw. Kassim S. Ndumbo  azungumza na Watendaji Kata siku ya tarehe 07/09/ 2021katika maeneo makuu matano:-

I. Namna ya kuishi

Ii. ukusanyaji wa mapato

III. utekelezaji wa miradi na

Iv.Vikao vya kisheria

V. vitambulisho vya ujasiriamali

Alizungumza kuhusu namna ya kuishi aliwaasa Watendaji kuishi Kiongozi na uwajibikaji, wawe wa kufuata protokali za kiuongozi wawe na utulivu na subira, waishi kwa kufuata taratibu za kazi na kutokutengezeana uadui

katika eneo la ukusanyaji wa mapato aliwaambia Watendaji hao kuwa pamoja na majukumu yao mengine wanalo jukumu la kusimamia  ukusanyaji wa mapato katika maeneo yao pamoja na kusimamia matumizi ya mizani na aliwaahidi kupeleka mawakala maeneo/ vituo visivyo na mawakala.

katika eneo la utekelezaji wa miradi na uaandaji wa taarifa waliaswa kusimamia miradi inayotekelezwa katika Kata zao kwa kuzingatia thamani ya pesa  na ubora wa mradi ( value for money).

Vikao vya kisheria

Aliwasisitiza kufanya vikao vyote vya kisheria ndani ya Kata zao waweke mikakati ya kushughulikia mimba mashuleni, mihtasari ifuate fomati za taarifa na itunzwe vizuri kwenye mafaili

Kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali aliwasisitiza waendelee kuhamasisha wananchi kukata vitambulisho  pia wajiunge katika vikundi  ambavyo vitakua na sifa ya ya kupata mikopo inayotolewa na Halmashauri kupitia idara ya Maendeleo ya Jamii na visivyokuwa na sifa waviwezeshe kupata sifa ya kukopesheka.

Pia aliwaasa kwa kusema "Tudumishe upendo miongoni mwetu na kwa watu wote, tujiamini, tujithamini na tusijidharau kwani maisha hayana fomula unaweza kuwa yeyote ,siku yoyote na popote"

Kabla ya kufuga kikao aliwakaribisha nao wasema waliyokuwa nayo ambapo walishukuru kwa uongozi kwani Sasa wanapata posho ya madaraka inayowawezesha kutatua changamoto zao mbalimbali pia waliiomba ofisi ya Mkurugenzi kuziwezesha ofisi za Kata kwani Zina Hali mbaya ya majengo fenicha hata shajala. Mkurugenzi aliwaahidi kufanyia kazi itakavyowezekana Ila aliwataka nao kuwa wabunifu na kujiongeza ili kuzipendezesha ofisi zao.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.