• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Mafia azindua Baraza la vijana Wilaya

Posted on: September 20th, 2021

Mkuu wa Wilaya Mafia Inj. Martin Ntemo alizindua BARAZA la vijana la Wilaya siku ya tarehe 09 Septemba, 2021 BARAZA hilo lilizinduliwa kwa uwezeshaji  wa shirika lisilo la kiserikali Action Aid. Katika hafla hiyo iliyoandaliwa na idara ya Maendeleo Jamii , Vijana , jinsia na watoto walialikwa  pia Mwenyekiti wa Halmashauri, Mkurugenzi Mtendaji Wilaya na Katibu wa Mbunge.
Vijana walipata fursa ya kueleza changamoto mbalimbali jamii inazowakabiliana nazo katika sekta ya Elimu, afya  na Ajira
Wakiainisha changamoto hizo katika sekta ya Afya walisema:-
i. Upungufu/ukosefu wa dawa, vifaa tiba pamoja na vipimo
ii  uhaba wa wataalam wa afya unaopelekea wataalam wachache waliopo kufanya kazi kubwa ya ziada
III . ukosefu wa nishati mwanga (umeme) katika zahanati
iv. Ukosefu wa vipimo vya DNA
v. Jamii kutokujiunga na mfuko wa bima ya Afya ya jamii (iCHF) ili kupunguza gharama za matibabu
vi. Vijana kukosa Elimu ya uzazi wa mpango hivyo kubeba mimba zisizotarajiwa

ii.Elimu
kwa upande wa Elimu wakiainisha changamoto zifuatazo
I.Kukosekana kwa Elimu ya ujasiriamali hasa kwa vijana
ii. Vijana kutokupewa Elimu Rika inayopelea kujiona bado watoto
III.kukosekana kwa vyuo vya Elimu ya kati (VETA)
iv.  Upungufu wa walimu mashuleni
v. Kukosekana kwa  usawa katika kupata Elimu ambapo inaonekana mtoto wa kiume anapendelewa zaidi kuliko wa kike
vi  Upungufu wa miundombinu ya shule (madarasa, ofisi za walimu, matundu ya vyoo) , fenicha
vii. Kukosekana kwa chakula mashuleni kunawafanya watoto wasome wakiwa na njaa na
viii. Ukosefu wa maktaba ambapo vijana wangeweza kujisomea vitabu, majarida n.k kujiongezea maarifa

Kwa upande wa ajira vijana walisema, upatikanaji ajira imekuwa changamoto kwa waliosoma na walioishia Elimu za kati hivyo kuomba kuwe na  vyuo vya VETA ambapo vijana watapata ujuzi mbalimbali utakaowawezesha kujiajiri.
Mwisho walifanya uchaguzi wa  viongozi wa BARAZA LA VIJANA na wafuatao waliochaguliwa:-
1: OXY SAID MAKELA  - Mwenyekiti
2: FATUMA SAID DARUWESHI-Katibu
3: ADI SILIMA -Mjumbe
4: DAMILES JOSEPH NGALOMBA- Mjumbe
5: DAUDI ATANAS-Mjumbe
6: FATUMA ABDALLAH-Mjumbe
7:AHMADI SHOSHI -Mjumbe
8: ASHA MASIKU -Mjumbe


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • KIJIJI CHA DONGO KUPATA KITUO CHA AFYA

    May 23, 2025
  • COWOFO MAFIA YATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA WILAYA

    May 21, 2025
  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.