• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MRADI WA KUTUNZA MSITU WA MLOLA WAWAZINDULIWA RASMI WILAYANI MAFIA

Posted on: May 26th, 2025

Shirika linalojihusisha na  Uhifadi wa mazingira na viumbe walio hatarini kutoweka duniani ( Sea Sense), leo Mei 26, 2025 limezindua rasmi mradi wa kutunza msitu wa Mlola utakaoimarisha ustahimilivu wa mifumo ya Ikolojia ya misitu katika kisiwa cha Mafia. 

Akizindua mradi huo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Katibu Tarafa wa Kata ya Kusini Ndugu Taifa Constantine amelishukuru shirika la Sea Sense kwa kushirikiana na Hifadhi ya Bahari Mafia ( HIBAMA), Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS), pamoja na Halmashauri kwa jitihada za kuanzisha mradi huo utakaosaidia kupambana na mabadiliko ya tabianchi.

" Tumeshuhudia jinsi rasilimali zinavyomalizwa sehemu mbalimbali na zinavyoathirika na mabadiliko ya tabianchi, hivyo tunavyopata wadau kama hawa wanaokuja kurekebisha yaliyotokea, hatuna budi kuwapa ushirikiano ili kufanikisha adhma hiyo" ameeleza Ndugu Constantine.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Sea Sense Ndugu Gosbert Katunzi ameeleza kuwa mradi huo ukitekelezwa vizuri na kuweka bayana changamoto na fursa zilizopo, utavutia wadau wengi ili waweze kuwekeza kisiwani Mafia.

Wadau mbalimbali wa mazingira wametoa wito kwa mashirika mengine kuunga mkono jitihada mbalimbali za utoaji wa elimu kuhusu uhifadhi wa mazingira ili kuokoa rasilimali zilizopo.

" Tunashukuru shirika la Sea Sense kwa hatua mbalimbali wanazochukua kutunza mazingira,  niwaombe mashirika mengine na wadau mbalimbali waunge mkono kutoa elimu kuhusu mazingira maana yanamgusa kila mtu na faida zake kila mtu anazijua, bila mazingira kila kitu kitatoweka" ameeleza Bw. Omari Abdallah, mkazi wa Mafia anayefanya kazi na Shirika la Sea Sense katika uhifadhi wa kasa.

Mradi wa kutunza msitu wa Mlola unatarajiwa kutekelezwa kwa miezi 18 katika vijiji vitatu vya Kungwi, Kibada na Kifinge ambapo utaongeza ustahimilivu kwa jamii katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • UKOSEFU WA ELIMU MIONGONI MWA VYANZO ZINAVYOSABABISHA VIFO VYA WAZAZI NA WATOTO

    May 29, 2025
  • MRADI WA KUTUNZA MSITU WA MLOLA WAWAZINDULIWA RASMI WILAYANI MAFIA

    May 26, 2025
  • WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA MAADILI WAWAPO KAZINI

    May 24, 2025
  • KIJIJI CHA DONGO KUPATA KITUO CHA AFYA

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.