• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI ATOA WITO KWA VIONGOZI KUHAMASISHA WANANCHI JUU YA UCHAGUZI

Posted on: October 6th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Mussa Kitungi ametoa wito kwa vyama vya siasa wilayani kuhakikisha kuwa wananchi wanajitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura pamoja na kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa ifikapo Novemba 27, 2024.

Ndugu Kitungi ameyasema hayo ofisini kwake wakati akizungumza na viongozi wa Vyama vya siasa ambapo amesisitiza umuhimu wa ushirikishwaji wa wananchi katika kuhakikisha viongozi bora wanapatikana katika Halmashauri na Taifa kwa ujumla.

Miongoni mwa malengo ya kikao hicho, ni pamoja na Kupokea na kujadili vituo vya uchaguzi vitakavyotumika kuandikisha wapiga kura  na kushiriki zoezi la kupiga kura.

Aliongeza kwa kuwaomba vyama vya siasa kuwa ni vyema kutumia  nafasi ya kuendelea kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kuanzia kwenye upataji wa elimu ya uchaguzi,kujiandikisha na kupiga kura.

Uandikishaji wa wapiga kura unatarajiwa kuanza ifikapo tarehe 11 hadi 20 Oktoba, 2024.

Mbali na kueleza hayo, Bw. Masasi alitoa shukrani za dhati kwa serikali kwa maelekezo na miongozo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani inaweka usawa na haki katika kushiriki zoezi hili la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Matangazo

  • TANGAZO: NAFASI ZA KAZI ZA MUDA; UCHAGUZI MKUU July 02, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • VETA YATOA MAFUNZO KWA MAMA LISHE ZAIDI YA 200 WA KATA YA KILINDONI

    June 17, 2025
  • JITIHADA ZIONGEZWE KUTOKOMEZA MALARIA

    June 17, 2025
  • MARUFUKU UTOAJI WA AJIRA KWA WATOTO; AONYA DC MANGOSONGO

    June 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJALI AFYA ZAO KUEPUKA MADHARA MAKUBWA YANAYOWEZA KUTOKEA

    June 14, 2025
  • Tazama zote

Video

Kisiwa cha Mafia ndani ya SGR
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.