• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

OFISI YA WAZIRI MKUU YAKABIDHI VIFAA MBALIMBALI KWA WAHANGA WA MVUA WILAYANI MAFIA

Posted on: May 5th, 2021

     Ofisi ya Waziri Mkuu kupitia idara ya  usimamizi na uratibu wa maafa imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya kibinadamu kwa wananchi wa wilaya ya Mafia waliopata madhara ya mvua kubwa iliyonyesha mfululizo kwa  siku 14 ( kumi nne).  Vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na magodoro 95, mablanketi 120, ndoo za maji zenye ujazo wa lita ishirini 50, ndoo zenye ujazo wa lita kumi 100 na madumu yenye ujazo wa lita kumi  50. Msaada huo ulipokelewa na mh. Mkuu wa Wilaya Shaib Nnunduma na kumkabidhi Mkurugenzi Mtendaji (W) ili kuwafikishia walengwa.

Jumla ya kaya 59 zilipatwa na madhara  mbalimbali yakiwemo kubomokewa na nyumba, makazi kuzingirwa na maji ndani na nje pamoja sehemu mbalimbali za nyumba kupata nyufa. Madhara hayo yalitokea kwa kiwango kikubwa katika kata za  Kilindoni (kaya 08 ), Kiegeani (kaya 30), Ndagoni (kaya 02 ) na Kirongwe (kaya 19).

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Mafia mh. Shaib Ahmed Nnuduma ameishukuru ofisi ya  Waziri Mkuu kwa kutoa msaada kwa wananchi  waliopata madhara hayo huku akitoa rai taasisi na watu mbalimbali wenye mapenzi mema kuendelea kutoa misaada mbalimbali kwa kaya hizo kwani nyingi hazina makazi na  kwa .sasa wengi wao wamesitiriwa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Zoezi la ugawaji wa vifaa hivyo lilianza tarehe 03 Mei, 2021 na kukamilika tarehe 05 Mei, 2021 ambapo jumla ya kaya 80 za kata za (Kilindoni kaya 14, Kiegeani 34, Ndagoni kaya 02, na Kirongwe kaya 30) zimenufaika na msaada huo huku zikushukuru kwa msaada huo kutoka serikalini.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • WANANCHI WAASWA KUJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA ZAO

    May 16, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI LARIDHIA KUANZISHWA KWA MRADI WA UONGEZAJI THAMANI ZAO LA DAGAA

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.