Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo akifungua mafunzo kwa Wakuu wa Idara na Vitengo, Wakuu wa Taasisi pamoja na wasaidizi wao kuhusu Sheria Mpya ya Ununuzi wa Umma Na.10 ya mwaka 2023 na matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa Ununuzi wa Umma " NeST"
Mafunzo hayo yanayotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma ( PPRA) yameanza rasmi Februari 10 na yanatarajiwa kuhitimishwa ifikapo Februari 12, 2025.
Mhe. Mangosongo ameeleza kuwa matumizi ya mfumo wa kieletroniki wa ununuzi umesaidia mambo mengi ikiwemo kupunguza urasimu kwa kiasi kikubwa pamoja na kuongeza ufanisi.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.