Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo amekabidhi msaada wa chakula na vifaa vya kujifunzia kwa watoto wenye mahitaji maalum, Desemba 27, 2024.
Msaada huo wa vyakula ikiwemo unga, sukari, mafuta ya kupikia na vinywaji, umetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa watoto wenye mahitaji maalum wa Shule ya Msingi Kilindoni.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.