Katibu Tawala wa mkoa wa Pwani, ndugu Rashid Mchata ( wa tatu kutoka kushoto )leo ametembelea miradi mbalimbali iliyomo wilayani Mafia ikiwemo mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura ( EMD)
na mahututi (ICU) katika Hospitali ya wilaya hiyo, mradi wa ujenzi wa shule ya msingi Mrambani
pamoja na ujenzi wa barabara ya Kichangachui kwa kiwango cha lami.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.