Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo akiongoza timu ya Wilaya na Halmashauri iliyofika mkoani Katavi katika Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujifunza kuhusu miradi inayotekelezwa kupitia biashara ya kaboni.
Timu imepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Mhe. Onesmo Buswelu.
Matukio katika picha wakati wa mafunzo ya ziara:
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.