Timu mbalimbali zimejitokeza kushiriki ligi ya wanawake ya netball inayofahamika kama " Wanawake Mafia League", iliyoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo.
Ligi hiyo imeanza tarehe 5 Februari na inatarajiwa kumalizika leo tarehe 7 Februari, 2025, ikifuatiwa na sherehe ya wanawake itakayofanyika Februari 09, ikiwa ni siku rasmi iliyoandaliwa na Mhe. Mangosongo kwa ajili ya wanawake wote wilayani kusherehekea.
Hatua hii ni muhimu kwa kuendeleza michezo kwa wanawake pamoja na kuhamasisha ushiriki wao.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.