Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na wataalam mbalimbali wa Halmashauri washiriki mafunzo ya uandaaji wa bajeti yaliyofanyika kwa siku mbili kuanzia Septemba 25 hadi 26, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri, Chicco.
Akifungua mafunzo hayo, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Simon Lendita amewasisitiza maafisa bajeti kuzingatia uhalisia pindi wanapoandaa bajeti , hasa katika kuainisha vyanzo vya mapato ikiwa ni pamoja na kuwa na takwimu sahihi katika maeneo yao ili bajeti itakayoandaliwa ikafikie lengo.


Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.