• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATOTO WILAYANI MAFIA WAUNGANA NA WATOTO WA AFRIKA KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Posted on: June 16th, 2021


Siku ya Mtoto wa Afrika ni siku muhimu ambayo nchi zote barani Afrika zinakumbuka tukio la kikatili lililofanyika nchini Afrika ya Kusini mwaka 1976 katika kitongoji cha SOWETO, ambapo watoto wengi waliokuwa wakidai haki yao ya kutobaguliwa katika elimu waliuliwa na iliyokuwa serikali kandamizi ya makaburu

Kauli mbiu ya mwaka 2021 inasema "TUTEKELEZE AJENDA 2040: KWA AFRIKA INAYOLINDA HAKI ZA WATOTO."

“ Watoto wa Mafia tunaishi katika mazingira magumu na hatarishi ingawa sio rahisi kuliona jambo hilo. Watoto tunatendewa matendo maovu na ya kikatili kama vile;Ubakaji, Ulawiti, Kupigwa, Kutishwa, Kutelekezwa, Kutumikishwa kazi ngumu na hata kutolewa lugha za matusi” walieleza watoto hao kwenye risala waliyoisoma mbele ya mgeni rasmi mhe. Shaib NNunduma Mkuu wa Wilaya ya Mafia

Katika maadhimisho hayo baraza la watoto Wilaya lilitambulishwa ambapo Kaimu  Afisa Maendeleo ya Jamii  Wilaya  Bw. Emmanuel Skainda alifafanua kuwa baraza la watoto halihusishi tu watoto waliopo shule bali na wale walio nje ya mfumo wa elimu kuanzia ngazi ya kijiji .

Pia watoto hao waliweza kuonyesha michezo mbalimbali yakiwemo maigizo , mashairi na ngonjera na mwisho watoto waliofanya vizuri kitaaluma walipatiwa zawadi mbalimbali


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • KIJIJI CHA DONGO KUPATA KITUO CHA AFYA

    May 23, 2025
  • COWOFO MAFIA YATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA WILAYA

    May 21, 2025
  • WITO WATOLEWA KWA WATOTO WA KIKE KUPENDA MASOMO YA SAYANSI

    May 17, 2025
  • MAFIA KUUNGANISHWA NA UMEME WA GRIDI YA TAIFA

    May 16, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.