• Wasiliana nasi |
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mafia District Council
Mafia District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Ardhi, Mipango miji na Maliasili
      • Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Msingi
        • Kitengo cha Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi na Zima Mmoto
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango na Takwimu
    • Vitengo
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Tehama
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
      • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Huduma za jamii
      • Maadili
      • Fedha, Utawala, na Mipango
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Taarifa
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Kujua Sheria
    • Fomu
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
      • YOUTUBE
    • Hotuba za Viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA MAADILI WAWAPO KAZINI

Posted on: May 24th, 2025

Watumishi wilayani Mafia wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi katika utekelezaji wa majukumu yao ili waweze kuhudumia wananchi kwa uaminifu mkubwa. 

Wito huo umetolewa Mei 24, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Ndugu Mussa Kitungi wakati wa sherehe ya wauguzi  iliyofanyika katika Hoteli ya Base Camp, Utende ambapo sherehe hiyo ilienda sambamba na kukaribisha watumishi wapya wa Idara ya Afya. 

Ndugu Kitungi ameeleza kuwa suala la ukosefu wa maadili kwa watumishi na jamii kwa ujumla ni adui mwingine kama ilivyo Ujinga, maradhi na umaskini. 

" Sote tunafahamu maadui wakubwa watatu ambao ni Ujinga, Maradhi, na Umaskini, ila siku hizi ukosefu wa maadili nao ni tatizo kwa taifa letu" alieleza. 

Aidha, ametilia mkazo suala la kutoa mafunzo kwa watumishi kwa kuwajengea uwezo pindi wanapoajiriwa ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa uwajibikaji, ubunifu pamoja na kuzingatia sheria, taratibu na miongozo iliyopo katika Utumishi wa Umma. 

Ndugu Kitungi ameishukuru Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuboresha sekta ya afya pamoja na sekta nyingine kwa kuajiri watumishi ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi. 

Jumla ya waajiriwa wapya 90 wamepokelewa wilayani Mafia ili kupunguza uhaba wa watumishi wa sekta hiyo, hatua ambayo Serikali inaendelea kuchukua ili kuboresha sekta ya afya kisiwani Mafia na Taifa kwa ujumla. 

Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kupitia Idara ya Afya husherehekea siku ya wauguzi kila mwaka kwa kumuenzi Muuguzi Muingereza,  Florence Nightingale ambaye alisifika kwa utendaji kazi wake katika karne ya 19.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KULIPIA VIWANJA May 20, 2025
  • Tazama zote

Habari za hivi punde

  • UKOSEFU WA ELIMU MIONGONI MWA VYANZO ZINAVYOSABABISHA VIFO VYA WAZAZI NA WATOTO

    May 29, 2025
  • MRADI WA KUTUNZA MSITU WA MLOLA WAWAZINDULIWA RASMI WILAYANI MAFIA

    May 26, 2025
  • WATUMISHI WAASWA KUZINGATIA MAADILI WAWAPO KAZINI

    May 24, 2025
  • KIJIJI CHA DONGO KUPATA KITUO CHA AFYA

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA VIWANGO VYA BARABARA YA MSUFINI
Tazama Video zaidi

Viungo vya haraka

  • Home
  • Photo Gallery
  • FAQ
  • Tourism
  • Investment
  • MATOKEO YA STD VII 2022

Viungo vinavyohusiana

  • OR- TAMISEMI
  • OR- Menejimenti Utumishi wa Umma
  • Wizara ya Elimu
  • Baraza la Mitihani Tanzania
  • Tovuti ya Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya ajira katika Utumishi wa Umma
  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
  • Wizara ya Fedha na Mipango

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Kilindoni-Bomani Street

    Anuani ya posta: 85

    Simu: 0232010199

    Simu ya mkononi:

    Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Katazo
    • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma namba 1
    • YOUTUBE

Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.