Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia wapatiwa mafunzo ya mifumo wa PEPMIS ambayo yamehusisha wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na wasaidizi wao.
Mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri uliopo Chicco na kufunguliwa na Ndugu Mussa Kitungi, Mkurugenzi Mtendaji.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.