Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mafia Bw.Kassim S. Ndumbo leo Feburuari 7 ametembelea na kukagua mradi wa jengo jipya la Halmashauri lililopo kata ya Kilindoni kitongoji cha Vunjanazi (Chiko) ikiwa ni hatua ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa maelekezo yake ambayo aliyatoa katika ziara zake za awali. Mradi huu wa Jengo la Utawala unatekelezwa hapa wilayani Mafia kwa fedha kutoka serikali kuu.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.