Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Mafia Bw.Kassim S. Ndumbo leo Feburuari 7 ametembelea na kukagua mradi wa Soko Kuu la Halmashauri ya wilaya Mafia lililopo kata ya Kilindoni ikiwa ni hatua ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa maelekezo yake ambayo aliyatoa katika ziara zake za awali. Mradi huu wa Soko Kuu unatekelezwa hapa wilayani Mafia kwa fedha za mapato ya ndani.
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.