Zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura awamu ya II itaanza tarehe 02/05/2020 hadi tarehe 04/05/2020 . Kila kata itakuwa na kituo kimoja ambacho kitakuwa katika ofisi za kata. Daftari la awali limebandikwa kwenye vituo vilivyotumika kuandika hivyo fika na uhakiki taarifa zako.
Waweza pia kuhakiki taarifa zako kupitia simu ya kiganjani kama picha inavyoonyesha
Kilindoni-Bomani Street
Anuani ya posta: 85
Simu: 0232010199
Simu ya mkononi:
Baruapepe: ded.mafia@pwani.go.tz / ded@mafiadc.go.tz
Copyright ©2017 Mafia District Council . All rights reserved.