Zoezi limeanza rasmi Februari 13 na linatarajiwa kukamilika ifikapo Februari 19, 2025.
Mafunzo kwa waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata. Kuanzia tarehe 06 hadi 07 Februari, 2025.