Posted on: November 13th, 2025
Vikundi 15 vya Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu vimekabidhiwa hundi ya thamani ya Shilingi Milioni 174.7 ambazo ni fedha zinazotolewa kupitia asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri....
Posted on: November 11th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Ndugu Mussa Kitungi ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya TEHAMA ( ICT STEERING COMMITTEE) kwa robo ya kwanza 2025/ 2026 tarehe 11 Novemba, 2025 a...
Posted on: October 25th, 2025
Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mafia Ndugu Dennis Myovella ameongoza mafunzo kwa makarani waongozaji wapiga kura yenye lengo la kuwajengea uwezo wa namna ya kutekeleza majukumu yao wawapo ...