Posted on: November 15th, 2022
Kamati ya Lishe imefanya kikao cha kupitia mpango na bajeti ya Lishe kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Katika kikao hiki mgeni rasmi alikua Katibu Tawala (W) Bw. Gilbert Sandagila. Aidha alikuwepo mjumbe ...
Posted on: November 11th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji (W) anawakaribisha wote walioitwa kwenye usaili nafasi ya udereva katika halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
Kupata kuona Majina ya walioitwa bofya hapaTANGAZO LA USAILI MAFIA.pdf...
Posted on: November 11th, 2022
Halmashauri imetoa jumla ya Tshs 97,700,000 kwa vikundi 08 vya wanawake ( Tshs 51,000,000) , vikundi 04 vya vijana (tshs. 45,500,000) na mlemavu mmoja tshs 1,200,000. Fedha hizo zimetokana...