Posted on: October 8th, 2024
Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wilayani Mafia, wamepata kiapo cha kutunza siri ikiwa ni siku chache kabla ya kuelekea zoezi la uandikishaji wa wapiga kura wa serikali za mitaa.
Zoezi hilo lil...
Posted on: October 6th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Mussa Kitungi ametoa wito kwa vyama vya siasa wilayani kuhakikisha kuwa wananchi wanajitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura pamoja na ...
Posted on: October 5th, 2024
Wananchi wilayani Mafia, leo Oktoba 5, 2024 wameungana na Uongozi wa Halmashauri, viongozi wa vyama vya siasa, watumishi, vikundi vya michezo ( jogging) pamoja na vikundi vingine katika jamii katika m...