Posted on: March 13th, 2025
Wizara ya Katiba na Sheria leo Machi 13 imeongoza mafunzo kwa baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, wajumbe wa Kamati ya Usalama pamoja na Maafisa Watendaji Kata...
Posted on: March 12th, 2025
Wataalam kutoka Shirika la World Fish wakishirikiana na Kitengo cha Uthibiti Ubora wa Mazao ya Uvuvi cha Wizara ya Mifugo na Uvuvi wamefika wilayani Mafia kwa lengo la kuona na kukagua eneo lililotole...
Posted on: March 11th, 2025
Katibu Tawala Wilaya ya Mafia Ndugu Shabani Shabani amekutana na vikundi vya wajasiriamali vya kata ya Kilindoni vilivyopatiwa Mikopo ya asilimia 10 ya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu.
...