Posted on: November 29th, 2024
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia umepongezwa kwa usimamizi mzuri wa mradi wa ujenzi wa hosteli ya wasichana katika shule ya Sekondari ya Kilindoni unaofadhiliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii...
Posted on: November 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo akiambatana na baadhi ya viongozi wakiwemo Katibu Tawala wa Wilaya, Ndg. Shabani Shabani, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg. Mussa Kitungi pamoja na...
Posted on: November 25th, 2024
Kisiwa cha Tembonyama kilichopo kijiji cha Jojo katika kata ya Kirongwe, kimepata mwekezaji atakayechangia kuleta maendeleo katika sekta ya utalii.
Akizungumza leo Novemba25, 2024 wakati wa uti...