Posted on: July 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo amezindua uvunaji wa jongoo bahari katika kitalu kilichopo kijiji cha Dongo, kitongoji cha Mfuruni Julai 30, 2024.
Uvunaji huo wa jongoo bahari umezin...
Posted on: July 26th, 2024
Vijana 30 wilayani Mafia wamepatiwa mafunzo ya uongozaji wa watalii pamoja na sanaa ya ngoma za asili yaliyolenga kuwajengea uwezo katika masuala ya utalii.
Mafunzo hayo yaliyofadhil...
Posted on: July 25th, 2024
Watumishi pamoja na wananchi wameshiriki kufanya usafi katika Hospitali ya Wilaya ya Mafia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mashujaa leo Julai 25, 2024.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mafia, Ndugu Oliv...