Posted on: February 3rd, 2025
Katika kuadhimisha kilele cha wiki ya sheria leo tarehe 3 Februari, 2025, Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ametoa wito wa kuwepo kwa ushirikiano kati ya mihimili mitatu yaani, Bunge...
Posted on: February 1st, 2025
Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, leo Februari 01, 2025 imetembelea na kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani.
Miradi iliyotembelewa ni pamoja ...
Posted on: January 30th, 2025
Watumishi wilayani Mafia wametakiwa kuwa na nidhamu wawapo kazini pamoja na kuheshimu mamlaka zilizopo.
Hayo yamesemwa leo Januari 30, 2025 na Katibu Tawala Msaidizi Mkoa wa Pwani Ndg. Peter ...