Posted on: September 5th, 2024
Viongozi pamoja na watumishi wilayani Mafia wamempokea Ndugu Shabani Shabani baada ya kuteuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya.
Ndugu Shabani anachukua nafasi ya Ndugu Olivanus Thomas aliyeteuliwa ku...
Posted on: September 5th, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Ndugu Mussa Kitungi amekabidhi pikipiki mbili kwa maafisa afya wa kata ya Kilindoni na Kanga, ikiwa ni hatua ya kuimarisha utoaji wa huduma za af...
Posted on: August 30th, 2024
Baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri na mwakilishi kutoka Hifadhi ya Bahari Mafia wakipata elimu kuhusu mradi wa uhifadhi wa mazingira kutoka shirika la Sea Sense.
Miongoni mwa ma...