Posted on: March 4th, 2025
Wanawake wajasiriamali waliopo kisiwani Chole wilayani Mafia, wanatarajia kupata soko la kimataifa la zao la mwani kwa kutangaza bidhaa zitokanazo na zao hilo amabazo zitaongeza mnyororo wa thamani.
...
Posted on: February 28th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia Ndg. Mussa Kitungi akiwa katika kikao na Katibu Tawala wa Wilaya Ndg. Shabani Shabani, Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na wataalam kutoka Wizara ...
Posted on: February 27th, 2025
Watumishi wilayani Mafia wameshiriki matembezi ya hisani kwa lengo la kumpongeza na kumshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zote anszozifanya katika kuhakikisha nchi inapata maendeleo ...