Posted on: May 24th, 2025
Watumishi wilayani Mafia wametakiwa kuzingatia maadili ya kazi katika utekelezaji wa majukumu yao ili waweze kuhudumia wananchi kwa uaminifu mkubwa.
Wito huo umetolewa Mei 24, 2025 na Mkuruge...
Posted on: May 23rd, 2025
Wananchi wa kijiji cha Dongo kilichopo kata ya Kilindoni wanatarajia kuwa na Kituo cha Afya baada ya miaka mingi ya kukosekana kwa kituo cha kutolea huduma za afya kijijini hapo.
Hilo limewekwa...
Posted on: May 21st, 2025
Asasi ya Wanawake inayojishughulisha na uchakataji wa mazao ya bahari wilayani Mafia ( COWOFO), leo Mei 21, 2025 imekabidhi msaada wa sabani na nepi za watoto (pampers) kwa wazazi na watoto walio chin...