Posted on: February 6th, 2025
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mafia yajadili na kupitisha Rasimu ya Mpango wa bajeti ya Shilingi Bilioni 25 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
Likiongozwa na Mwenyekiti wa Hal...
Posted on: February 5th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza kikao cha Tathmini ya Mkataba wa Lishe robo ya pili, Oktoba - Desemba 2024/2025 kilichofanyika katika Ofisi yake Februari 05, 2025.
...
Posted on: February 5th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo ameielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kuhakikisha inaweka nguvu kubwa katika kusimamia miradi ili kuepuka kuwa na miradi ambayo haitekelezeki k...