Posted on: October 20th, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia anakaribisha maombi ya kazi kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi moja (1) ya Mtendaji wa kijiji.
Kwa maelezo zaidi soma tangazo ...
Posted on: May 1st, 2020
Zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura awamu ya II itaanza tarehe 02/05/2020 hadi tarehe 04/05/2020 . Kila kata itakuwa na kituo kimoja ambacho kitakuwa katika ofisi za kata. Daftari la aw...