Posted on: November 3rd, 2022
Shirika lisilokua la kiserikali linajulikana kwa jina la Kalamu Education Foundation (KEF) limetoa msaada wa chakula kwa wanafunzi wa kidato cha nne wanaojiandaa na mtihani wa Taifa wa kumaliza ...
Posted on: November 3rd, 2022
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) chini ya mchungaji Nehemia Mosha limetoa msaada wa box 2 za pamba za wakina mama, vibana vitovu (cord clamp -100 kwa watoto wanaozaliwa) , box 1 moja la glov...
Posted on: October 20th, 2022
Kamati ya sensa Wilaya ya Mafia imefanya kikao cha tathmini ya sensa ya watu na makazi siku ya tarehe 20/10/2022 .
Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhandisi Martine Ntemo ambaye ni mkuu wa ...