Posted on: August 5th, 2024
Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wametembelea banda la maonesho la Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kujionea mambo mbalimbali yanayopatikana kuhusu kilimo, mifugo na uvuvi ambapo kwa kiasi kikubwa...
Posted on: August 2nd, 2024
Maonesho ya Nanenane kanda ya Mashariki kwa mwaka 2024 yameanza rasmi Agosti 01 mkoani Morogoro ikihusisha mikoa ya Pwani, Dar es Salaam, Morogoro na Tanga.
Halmashauri ya Wilaya ya Mafia ni miongo...
Posted on: July 30th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo amezindua uvunaji wa jongoo bahari katika kitalu kilichopo kijiji cha Dongo, kitongoji cha Mfuruni Julai 30, 2024.
Uvunaji huo wa jongoo bahari umezin...