Posted on: October 28th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo akiongoza kikao cha Tathmini ya Lishe kwa robo ya kwanza ( Julai - Septemba), 2024/2025, ambapo mikakati mbalimbali ya kuboresha #Lishe katika Wilay...
Posted on: October 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa ameweka jiwe la msingi ujenzi wa shule mpya ya sekondari Raphta pamoja na kuzindua zahanati ya Kilindoni ambazo zote zipo katika kata ya Kilindoni.
...
Posted on: October 26th, 2024
Wakazi wa wilaya ya Mafia wameendelea kutoa kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa kushiriki mazoezi pamoja na usafi wa pamoja.
Katika kudumisha taratibu za usafi wa mazingira,...