Posted on: September 20th, 2021
Mkuu wa Wilaya Mafia Inj. Martin Ntemo alizindua BARAZA la vijana la Wilaya siku ya tarehe 09 Septemba, 2021 BARAZA hilo lilizinduliwa kwa uwezeshaji wa shirika lisilo la kiserikali Action Aid. ...
Posted on: September 15th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji (W) Mafia Bw. Kassim S. Ndumbo azungumza na Watendaji Kata siku ya tarehe 07/09/ 2021katika maeneo makuu matano:-
I. Namna ya kuishi
Ii. ukusanyaji wa mapato
III. ut...
Posted on: September 13th, 2021
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) linaomba radhi wateja wake wa wilaya ya Mafia kwa katizo la umeme kama ifuatavyo:-
SIKU
Jumanne 14/09/2021
MUDA
Tutatumia masaa 2
Kuanzia saa 3...