Posted on: April 22nd, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Rashid Mchatta ameongoza ziara ya ukaguzi wa baadhi ya miradi ya maendeleo itakayokaguliwa na Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024 wilayani Mafia.
Akiwa ameambatana na...
Posted on: April 20th, 2024
Wasichana 4826 wilayani Mafia wanatarajiwa kupata chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV) itakayotolewa kuanzia tarehe 22 hadi 24 Aprili, 2024.
Kuelekea zoezi hilo, Halmashauri ya...
Posted on: April 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo amepokea msaada ikiwemo nguo, viatu na madaftari kutoka Kanisa la TAG Kilindoni lililoshirikiana na makanisa mengine ya TAG sehemu ya Mafia.
...