Posted on: June 18th, 2024
Mkuu wa mkoa wa Pwani mhe. Abubakar Kunenge ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Mafia kwa kufanikiwa kuongeza vyanzo vya mapato na kupata hati safi.
Rc.kunenge ameyasema hayo mapema Leo katika...
Posted on: May 30th, 2024
Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Pwani, umefanya ziara ya kutembelea waathirika wa Maafa ya Kimbunga " Hidaya" wilayani Mafia Mei 29, 2024.
Ziara hiyo imelenga kutoa...
Posted on: May 29th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe Aziza Mangosongo, akiwa katika ziara ya ukaguzi wa miundombinu ilyoharibiwa na kimbunga " Hidaya" wilayani Mafia.
Akiwa ameambatana na kamati ya Usalama ya Wilaya pa...