Posted on: October 9th, 2025
Viongozi pamoja na wananchi wamejitokeza wakati wa maadhimisho ya Juma la Elimu ya Watu Wazima yaliyofanyika leo Oktoba 9, 2025 katika shule ya Msingi Kilindoni.
Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo...
Posted on: October 8th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe. Aziza Mangosongo amezindua rasmi ugawaji wa vyandarua Oktoba 7, 2025 katika zahanati ya Kilindoni ambapo jumla ya vyandarua 50,937 vinatarajiwa kugawiwa kwa kaya 23, 311.&...
Posted on: October 6th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mafia ameelekeza kuwa soko la mwani wilayani Mafia ni huru na hivyo Serikali inaruhusu ushindani wa wanunuzi wa zao hilo kwa kuzingatia sheria na miongozo iliyopo katika soko bila vi...