Posted on: August 23rd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Mhe. Aziza Mangosongo ameipongeza Serikali kwa kuendelea kutatua changamoto za walimu zikiwemo madeni ya uhamisho na likizo, pamoja na ukosefu wa nyumba za watumishi.
Mhe. ...
Posted on: August 21st, 2024
Serikali imechangia mafanikio makubwa katika sekta ya Afya wilayani Mafia kutokana na utekelezaji wa miradi ikiwemo ujenzi wa miundombinu kama vile vituo vya kutolea huduma za afya pamoja na ongezeko ...
Posted on: August 20th, 2024
Kamati ya Siasa Wilaya ya Mafia imefanya ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa wilayani ikiwemo Afya, Elimu, Barabara na maji.
Ziara hiyo iliyolenga kukagua hatua za ute...