Posted on: October 26th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa ameweka jiwe la msingi ujenzi wa shule mpya ya sekondari Raphta pamoja na kuzindua zahanati ya Kilindoni ambazo zote zipo katika kata ya Kilindoni.
...
Posted on: October 26th, 2024
Wakazi wa wilaya ya Mafia wameendelea kutoa kutoa hamasa kuelekea Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa kushiriki mazoezi pamoja na usafi wa pamoja.
Katika kudumisha taratibu za usafi wa mazingira,...
Posted on: October 11th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Mafia kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii, imetoa mafunzo kwa madiwani kuhusu usimamizi na utoaji wa Mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulema...