Posted on: November 11th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji (W) anawakaribisha wote walioitwa kwenye usaili nafasi ya udereva katika halmashauri ya Wilaya ya Mafia.
Kupata kuona Majina ya walioitwa bofya hapaTANGAZO LA USAILI MAFIA.pdf...
Posted on: November 11th, 2022
Halmashauri imetoa jumla ya Tshs 97,700,000 kwa vikundi 08 vya wanawake ( Tshs 51,000,000) , vikundi 04 vya vijana (tshs. 45,500,000) na mlemavu mmoja tshs 1,200,000. Fedha hizo zimetokana...
Posted on: November 10th, 2022
Katika ziara iliyofanyika siku ya tarehe 09/11/2022 , wajumbe wa kamati ya fedha , mipango na utawala walitembea miradi mbalimbali ikiwemo:-
Mradi wa jengo la ofisi la Halmashauri kamat...