Posted on: April 12th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia alitoa motisha kwa walimu wote wa sekondari wa wilaya ya Mafia pamoja na watumishi waliopo ofisi ya Afisa Elimu sekondari kwenda kufanya utalii wa...
Posted on: March 22nd, 2021
Idara ya Elimu Sekondari iliandaa kikao kilichowashirikisha wadau mbalimbali wa elimu kwa ajili kuwashukuru na kutoa taarifa ya mandeleo ya Elimu Sekondari.
Mgeni rasmi wa kikao hicho alik...